title : Chakechake wajiandaa na Masika kwa kusafisha mitaro
kiungo : Chakechake wajiandaa na Masika kwa kusafisha mitaro
Chakechake wajiandaa na Masika kwa kusafisha mitaro
MAFUNDI wanaotengeneza mtaro wa maji machafu katika eneo la Mtoni wilaya ya Chake Chake wakitoa uchafu katika mtaro huo, kwa lengo la kumwagwa zege ili maji yaweze kupita kwa urahisi, hususan katika mvua zinazokuja za masika ili zisiweze kuleta madhara.(PICHA NA HANIFA SALIM , PEMBA).
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid, akiangalia uchafu uliotolewa ndani ya mtaro wa maji machafu mtoni, baada ya kusafishwa kushoto ni Mkurugenzi wa Baraza la Mji Chake Chake Salma Abuu Hamada.(PICHA HANIFA SALIM)
Hivyo makala Chakechake wajiandaa na Masika kwa kusafisha mitaro
yaani makala yote Chakechake wajiandaa na Masika kwa kusafisha mitaro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Chakechake wajiandaa na Masika kwa kusafisha mitaro mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/chakechake-wajiandaa-na-masika-kwa.html
0 Response to "Chakechake wajiandaa na Masika kwa kusafisha mitaro"
Post a Comment