MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI

MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI
kiungo : MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI

soma pia


MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa ambaye ni msuluhishi wa mgogoro wa Burundi akiwa katika chumba cha wageni maalum katika uwanja wa Ndege wa Entebbe leo. kulia ni Mwambata Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda, Brig Gen. Mkumbo, kushoto ni Msaidizi wa Rais Mkapa katika utatuzi wa mgogoro huo, Balozi David Kapya na anayemfuatia ni Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz Mlima. Mkapa aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Entebbe asubuhi ya tarehe 19 Novemba 2018 kwa ajili ya kuwasilisha ripoti ya mkutano wa upatanishi uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha kwa Mpatanishi Mkuu wa mgogoro huo Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni. 
Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz Mlima (kushoto) akimsikiliza Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa ambaye ni msuluhishi wa mgogoro wa Burundi. Rais Mkapa aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Entebbe asubuhi ya tarehe 19 Novemba 2018 kwa ajili ya kuwasilisha ripoti ya mkutano wa upatanishi uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha kwa Mpatanishi Mkuu wa mgogoro huo Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni. 
Mhe. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mlima, Balozi Kapya na Bw. Makocha Tembele ambaye ni Katibu wa Rais Mkapa. 


Hivyo makala MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI

yaani makala yote MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mkapa-awasili-uganda-kuwasilisha-ripoti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKAPA AWASILI UGANDA KUWASILISHA RIPOTI YA USULUHISHI YA MGOGORO WA BURUNDI KWA RAIS MUSEVENI"

Post a Comment