title : ZAINABU VULU AFUNGUWA OFISI YA UWT KISARAWE
kiungo : ZAINABU VULU AFUNGUWA OFISI YA UWT KISARAWE
ZAINABU VULU AFUNGUWA OFISI YA UWT KISARAWE
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Pwani,Zainabu Vulu akifungua ofisi ya kata UWT Kisarawe mkoa wa Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Pwani,Zainabu Vulu akizungumza na wajumbe wa kata ya Kisarawe ,ambapo alisema Msingi wa kuwa na maisha bora ni kufanya kazi kwa bidii na ameahidi kuendelea kuwaunga mkono ili kuhakikisha wanasonga mbele bila kurudi nyuma.
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Pwani,Zainabu Vulu akikabidhi viti kwa Katibu wa UWT kata ya Kisarawe,Moshi Litatilo kwa ajili ya ofisi ya kata hiyo.
Hivyo makala ZAINABU VULU AFUNGUWA OFISI YA UWT KISARAWE
yaani makala yote ZAINABU VULU AFUNGUWA OFISI YA UWT KISARAWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZAINABU VULU AFUNGUWA OFISI YA UWT KISARAWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/zainabu-vulu-afunguwa-ofisi-ya-uwt.html
0 Response to "ZAINABU VULU AFUNGUWA OFISI YA UWT KISARAWE"
Post a Comment