WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU
kiungo : WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU

soma pia


WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU

WAZIRI wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Alphaxard Lugola(MB akishikana mkono na Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro wakiwa pamoja na baadhi ya viongozi wa wilaya na Mkoa wa Arusha
Mkuu wa wilaya ya Arumeru JerryMuro akionyesha moja ya gari la Polisi aina Land Rover Defender, alililifanyia ukarabati wilayani hapo mara tu alipoanza kazi mwaka jana 2018


Na. Vero Ignatus, Arusha

WAZIRI wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Lugola(MB) amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry C. Muro, kwa juhudi alizozifanya za Kukarabati Gari ya Polisi aina Land Rover Defender, ambalo lilikuwa halitumiki kwa miaka mingi kutokana na kuchakaa na kuwa chuma chakavu, ambapo ukarabati huo umegharimu zaidi ya Tshs. Milioni 19. 

Mhe. Kangi Alphaxard Lugola amesema juhudi zilizofanywa na Mhe. Jerry C. Muro, kuwezesha ukarabati wa Gari hiyo ambayo imekarabitiwa na wadau wa maendeleo wa Wilaya ya Arumeru, kutasaidia kuimarisha Ulinzi katika maeneo ya Mamlaka ya Mji Mdogo wa Ngaramtoni. 

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry C. Muro, amesema Kwa kipindi cha miezi mitano alichotumikia wananchi wa Arumeru, amemua kutatua changamoto za vifaa vya kutendea kazi Kwa jeshi la Polisi ikiwemo kukarabati Magari yote ya Jeshi la Polisi Wilaya ya Arumeru, kwa kuwashirikisha wadau, badala ya kusubiria fedha kutoka Serikali Kuu.


Hivyo makala WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU

yaani makala yote WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-wa-mambo-ya-ndani-kangi-lugola.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMPONGEZA MKUU WA WILAYA YA MERU"

Post a Comment