title : KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI
kiungo : KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI
KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI
Wadau mbalimbali wa Mazingira wakifanya usafi kwenye ufukwe wa Coco, Kinondoni Jijini Dar es salaam katika kuadhimisha siku ya usafi duniani iliyofanyika mwishoni mwa wiki kupitia kampeni ya ‘Let’s Do it’ iliyolenga kuondoa taka kutoka kwenye mazingira ya asili. #KINONDONI
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo akizungumza na wadau mbalimbali wa Mazingira kwenye ufukwe wa Coco katika kuadhimisha siku ya usafi duniani iliyofanyika mwishoni mwa wiki kupitia Kampeni ya ‘Let’s Do it’ iliyolenga kuondoa taka kutoka kwenye mazingira ya asili. #KIGAMBONI
Wadau mbalimbali wa Mazingira wakifanya usafi eneo la Ferry Sokoni, Kigamboni jijini Dar es salaam katika kuadhimisha siku ya usafi duniani iliyofanyika mwishoni mwa wiki kupitia kampeni ya ‘Let’s Do it’, iliyolenga kuondoa taka kutoka kwenye mazingira ya asili.
#MBEZI MWISHO - UBUNGO
Hivyo makala KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI
yaani makala yote KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kampeni-ya-lets-do-it-yawakutanisha.html
0 Response to "KAMPENI YA 'LET'S DO IT' YAWAKUTANISHA PAMOJA WATANZANIA KUFANYA USAFI"
Post a Comment