title : Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa mkutanoni Addis Ababa, Ethiopia
kiungo : Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa mkutanoni Addis Ababa, Ethiopia
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa mkutanoni Addis Ababa, Ethiopia
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue nje ya ukumbi wa Nelson Mandela,kwenye mkutano wa Viongozi Wakuu wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 12, 2019, (katikati) kushoto ni Waziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga, (katikati) kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Naimi Aziz.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa mkutanoni Addis Ababa, Ethiopia
yaani makala yote Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa mkutanoni Addis Ababa, Ethiopia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa mkutanoni Addis Ababa, Ethiopia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-akiwa.html
0 Response to "Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa mkutanoni Addis Ababa, Ethiopia"
Post a Comment