WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA

WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA
kiungo : WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA

soma pia


WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA

Wakazi wa vijiji vya kisanga,kata ya talawanda katika halmashauri ya chalinze mkoani pwani wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwa na vyoo bora .
Mtendeji wa kijiji cha kisanga Exaud Edward mhelela akitoa ufafanuzi wa jinsi ya kuwa na vyoo bora



NA FREDY MGUNDA, PWANI

WAKAZI wa vijiji vya kisanga,kata ya talawanda katika halmashauri ya chalinze mkoani pwani wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwa na vyoo bora ilikuepukana na magonjwa ya mlipuko yanayosababishwa na kula kinyesi cha binadamu.

Akizungumza na wakazi wa vijiji hivyo wakatika wa kampeni ya uhamasishaji wa ujenzi wa vyoo bora,mtendeji wa kijiji cha kisanga Exaud Edward mhelela,alisema ni muhimu kwa kila kaya kuhakikisha inakuwa na chuo safi na bora watakachotumia kwa ajili ya kujisitili.

Amesema kila kaya inatakiwa kuwa na chuo bora na safi kwa ajiri ya familia yake,kwani magonjwa mengi ya mlipuko husababishwa na watu kula kinyesi cha binadamu na endapo kutakuwa na magonjwa ya mlipuko ya mara kwa mara,basi yatasababisha kupunguza nguvu kazi ya taifa na maendeleo kurudi nyuma.

“ndugu zangu maendeleo yoyote hayawezi kuja katika kijiji chetu cha kisanga bila kuwa na maji safi,mazingira na rafiki ikiwemo (vyoo),hivyo ni muhimu tutahidi katika uhamasishaji wa kuwa na vyoo safi na bora kwa kila kata” alisema.

Kwa upande afisa mradi wa WARIDI,Samson Mbwasi alisema hali ya usafi na mazingira katika vijiji vya kisanga na Msigi ilikuwa sio nzuri kwa sababu kaya nyingi zilikuwa hazina vyoo bora.

Alisema mara baada ya kuingia kwa mradi huo wa PDF/WARIDI Chalinze na kuwapatia mafunzo watendaji wote wa vijiji,walikusanya taarifa za usafi wa mazingira na imesaidia wananchi wengi kujenga vyoo bora.

Alisema uongozi wa kijiji ukiongozwa na mtendaji wa kijiji,waliwahimiza wananchi na kwapamoja walikubariana kuboresha hali zao za usafi hususani kwenye ujenzi na matumizi sahihi ya vyoo.

Alisema katika vijiji vyote viwili vya kisanga na msigi,wamefanikiwa kuhamasisha ujenzi wa vyoo katika kaya hamsini na nane (58) kati ya mia moja tisini na saba (197) sawa na asilimia 29.9. 


Hivyo makala WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA

yaani makala yote WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/wakazi-wa-halmashauri-ya-chalinze.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKAZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE WATAKIWA KUWA NA VYOO BORA"

Post a Comment