BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA
kiungo : BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA

soma pia


BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA

Hivi punde chumba cha habari Globu ya Jamii imepokea taarifa za kusikitisha/huzunisha  zinazohusu aliyekuwa Msanii mahiri katika miondoko ya kughani a.ka Rap almaarufu kwa jina la Godzilla amefariki Dunia.

Taarifa zinaeleza kuwa Msanii huyo maye kwa jina halisi anaitwa Golden Mbunda,aliyekuwa akitikisa anga ya bongofleva katika miondoko ya hip hop nchini ,amefariki Dunia ghafla  usiku wa kuamkia leo Jumatano Februari 13,2019 akiwa nyumbani kwao maeneo ya Salasala,jijini Dar.

Mwili wake umepelekwa kuhifadhiwa katika hospitali ya Lugalo,Mwenge.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi-AMIN.

TUTAENDELEA KUWAJUZA HABARI ZAIDI KADIRI ZITAKAVYOKUWA ZIKIINGIA.


Hivyo makala BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA

yaani makala yote BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/breaking-newzzzmsanii-maarufu-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWZZZ:MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA AFARIKI DUNIA"

Post a Comment