title : POP UP YA SWAHILI FASHION WEEK YAWA GUMZO KWA WANA MITINDO
kiungo : POP UP YA SWAHILI FASHION WEEK YAWA GUMZO KWA WANA MITINDO
POP UP YA SWAHILI FASHION WEEK YAWA GUMZO KWA WANA MITINDO
Mwanamitindo wa kampuni ya African Doll akimuonyesha nguo ndugu John Ulanga katika Swahili Fashion week Pop Up iliyofanyika Nyumbani kwa Balozi wa Italy jijini Dar es Salaam
Mwanamitindo,Diane Kapela kutoka Naled Fashion Tanzania akiweka sawa bidhaa zake katika Pop Up ya Swahili Fashion Week iliyofanyika Nyumbani kwa Balozi wa Italy
Mwanamitindo Maharufu nchini Martin Kadinda, akichagua nguo za Mwanamitindo Kulwa Mkwandule katika Pop Up ya Swahili Fshion Weeek iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Italy
Mwanamitindo Manca Mushi akiuza bidhaa zake za mikoba na nguo kutoka kwa moja ya wateja waliofika katika Pop Up ya Swahili Fashion Week
Mwanamitindo Rebecca Mwaipopo akiwaonyesha wateja wake nguo wakati wa Pop Up ya Swahili Fashion Week iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Italy jijini Dar es Salaam
--
Hivyo makala POP UP YA SWAHILI FASHION WEEK YAWA GUMZO KWA WANA MITINDO
yaani makala yote POP UP YA SWAHILI FASHION WEEK YAWA GUMZO KWA WANA MITINDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POP UP YA SWAHILI FASHION WEEK YAWA GUMZO KWA WANA MITINDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/pop-up-ya-swahili-fashion-week-yawa.html
0 Response to "POP UP YA SWAHILI FASHION WEEK YAWA GUMZO KWA WANA MITINDO"
Post a Comment