Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar

Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar
kiungo : Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar

soma pia


Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar

Na Andrew Chale

Viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwemo Mawaziri pamoja na viongozi wengine wamejitokeza kuhani msiba wa mtoto wa Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia Mbunge wa Nzega Vijijini  Dk.Hamisi Andrea  Kigwangalla  marehemu Zulqarinain  aliyefariki jana February 21,2019 majira ya Saa nne asubuhi  JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE - MUHIMBILI.

Viongozi hao pamoja na ndugu na jamaa na marafiki wamejumuika kwa pamoja nyumbani kwake Mikocheni A katika Kota za Mawaziri jirani na kituo cha mafuta cha Victoria.

Baadhi ya viongozi hao akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba Kabudi,Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii  Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu,Waziri wa Kilimo  Japhet Hasunga

Wengine ni Naibu Waziri wa Afya  Dk Faustine Ndugulile, Naibu waziri mambo ya ndani Masauni, Naibu Waziri Madini, Naibu Waziri mambo ya Nje  na wengine wengineo.

Pia wengine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda pamoja na wengine wakiwemo Wabunge,  ndugu  jamaa na Marafiki.

Awali  Msemaji wa Familia Bwana  Lumola alieleza  kuwa mwili utasafirishwa 22 Februari kwa  ndege na Mazishi yanatarajiwa kufanyika saa Kumi jioni Nzega Vijijini  Jimboni kwa Waziri Dk Kigwangalla.

#R.I.P. Zul.

Inna lillahi wainna illaihi rajiuun









Hivyo makala Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar

yaani makala yote Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/viongozi-wahani-msiba-wa-mtoto-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Viongozi wahani msiba wa Mtoto wa Waziri Dk Kigwangalla Dar"

Post a Comment