title : Uzinduzi wa kampeni ya naweza na vodacom
kiungo : Uzinduzi wa kampeni ya naweza na vodacom
Uzinduzi wa kampeni ya naweza na vodacom
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Bi. Harriet Lwakatare akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya 'NAWEZA NA VODACOM' inayowaelimisha wateja wake njia mbali mbali za kidijitali za kujihudumia na kutatua matatizo kwa haraka leo makao makuu ya kampuni hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi. Rosalynn Mworia.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Bi. Harriet Lwakatare akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya 'NAWEZA NA VODACOM' inayoelimisha wateja njia mbali mbali za kidijitali za kujihudumia na kutatua matatizo kwa haraka iliyofanyika leo makao makuu ya kampuni hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi. Rosalynn Mworia na Mkuu wa Idara ya ufanisi kwa Wateja, Bi. Najenjwa Mbagga.
Hivyo makala Uzinduzi wa kampeni ya naweza na vodacom
yaani makala yote Uzinduzi wa kampeni ya naweza na vodacom Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa kampeni ya naweza na vodacom mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/uzinduzi-wa-kampeni-ya-naweza-na-vodacom.html
0 Response to "Uzinduzi wa kampeni ya naweza na vodacom"
Post a Comment