title : DC SINYAMULE AONGOZA MAZOEZI KWA WAKAZI WA WILAYA YA SAME
kiungo : DC SINYAMULE AONGOZA MAZOEZI KWA WAKAZI WA WILAYA YA SAME
DC SINYAMULE AONGOZA MAZOEZI KWA WAKAZI WA WILAYA YA SAME
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
MKUU wa Wilaya ya ISame Mkoa wa Kilimanjaro, Rosemary Sinyamule ameongoza mazoezi ya wakazi wa Wilaya hiyo ikiwa ni sehemu ya utamaduni waliojiwekea watumishi na wakazi wa eneo hilo kila ifikapo mwisho wa wiki.
Dc Sinyamule amesesma kuwa mazoezi yamekuwa ni utamaduni hivyo wananchi hao upata fursa ya kujumuika na viongozi wao katika siku ambazo sio za kazi na kuweza kupata nafasi ya kuzungumza mambo ya kawaida yanayohusu maisha yao ya kila siku katika mfumo wa kawaida .
" leo wananchi wamepata fursa muhimu ya kusikiliza maelekezo ya afya kutoka na umuhimu wa mazoezi kutoka Kwa mganga Mkuu wa Wilaya ya Same . Dr. Andrew ambaye aliwataka wakazi wa eneo hilo kutunza afya kwa kufanya mazoezi mara tatu kwa wiki hili kuweza kujiepusha na magonjwa yasiyokuwa ya lazima" amesema Dc Sinyamule.
DC Sinyamule ameongeza kuwa katika kuadhimisha wiki ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayat Mwl Julius Nyerere ni kila mmoja kuona namna anavyomuenzi kwani alikuwa Mazalendo na alipigania Uhuru akiwa katika umri mdogo hivyo kuwasisitiza Vijana kufanya yale yote yaliyofanywa na Mwalimu katika harakati zake.
DC Sinyamule alimaliza kwa kuwashukuru wananchi wa Same Kwa kuendelea kujitokeza Kwa wingi. Pia aliwakumbusha kila mmoja kujipangia ratiba ya mazoezi kila siku. na si kungoja siku moja Kwa mwezi.
Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Sinyamule akiwa katika picha ya pamoja na Wanachi waliojitokeza katika Mazoezi Wilaya ya Same.Wakazi wa Wilaya ya Same wakiwa katika Mazoezi ya Pamoja yaliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Rosemary Sinyamule.
Hivyo makala DC SINYAMULE AONGOZA MAZOEZI KWA WAKAZI WA WILAYA YA SAME
yaani makala yote DC SINYAMULE AONGOZA MAZOEZI KWA WAKAZI WA WILAYA YA SAME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC SINYAMULE AONGOZA MAZOEZI KWA WAKAZI WA WILAYA YA SAME mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dc-sinyamule-aongoza-mazoezi-kwa-wakazi.html
0 Response to "DC SINYAMULE AONGOZA MAZOEZI KWA WAKAZI WA WILAYA YA SAME"
Post a Comment