WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA
kiungo : WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA

soma pia


WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kulia) hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini  Tanzania Hanne-Marie Kaarstad (katikati) Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine wamejadili namna ya kuendelea kushirikiana katika sekta ya Hifadhi na Usimamizi endelevu wa mazingira nchini.
 Sehemu ya wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na wale wa Ubalozi wa Norway wakifuatilia majadiliano hayo baina ya Balozi wa Norway nchini  Tanzania Hanne-Marie Kaarstad na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo jijini Dar es Salaam.
Waziri Makamba akiongea na wageni kutoka Ubalozi wa Norway hapa nchini walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA

yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-makamba-akutana-na-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA"

Post a Comment