MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO.

MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO.
kiungo : MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO.

soma pia


MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO.



Mwambawahabari
 Na John Luhende
Mgombea Udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto leo ameendelea mikutano ya kampeni kugombea kuchaguliwa tena kuwa diwani wa kata hiyo.

Akizungumza na wananchi wa kata ya Vingunguti katika Mkutano uliofanyika katika mtaa wa Kombo, Kumbilamoto  amesema ananiaya dhati kuwatumikia wananchi na kwamba alipokuwa chamakingine  alitekeleza ahadimbambali alizoahidi ikiwemo kununua gari la wagonjwa, lakini likachukuliwa na Manispaa badala ya kuhudumiawananchi wa kata yake, hivyo ameahidi kurejesha gari hilo atakapochaguliwa ili lisaidie wananchi wa kata hiyo.

Aidha amesema akichaguliwa at aendelea kushughulikia changamoto za wanachi hao za Barabara, Maji, Afya na Elimu ili kuleta maendeleo kwa wananchi hao.

Akizungumzia ujiowake ndani ya CCM unaohusishwa na baadhi ya wapi nani wake kuwa amenunuliwa amesema yeye amenunuliwa na ukelezaji Ilani ya CCM na usiku na uchapakazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwatetea wananchi wanyonge  ikiwemo kutekeleza mambo ambayo wapinzaniwalikuwa wakiyadaiikiwemokufufuamashirika ya umma likiwemo Shirika la ndege nchini ATCL.


Kwa upande wake Mgeni rasmi katika Mkutano huo Katibu  wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa Erasto  Sima, amewataka wananchi wa Vingunguti kukichagua Chama cha Mapinduzi kwa nafasi hiyo ya udiwani ili aweze kusaidiana na mbunge kuwatetea na kuwalea maendeleo yao.

Naye Mbunge wa segerea Mhe. Bonna Karuwa amewaomba  wananchi hao kumalizia kura  Kumbilamoto iliwasaidiane kwa kuwa hana  diwani anayetokanana CCM katika jimbo lake.
"Sina diwani hata mmoja naombeni mnipe huyo Diwani tuwatumikie" alisema.




Hivyo makala MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO.

yaani makala yote MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mgombea-udiwani-kata-ya-vingunguti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMAHANA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO."

Post a Comment