title : TANGAZO LA MNADA
kiungo : TANGAZO LA MNADA
TANGAZO LA MNADA
Wiki hili jumamosi, karibu kwenye mnada wa Ubalozi wa Switzerland, Finland, Norway, Europian Union, World Bank na UNICEF.
Kuna Furniture nyingi za Nyumbani na za Ofisi, Magari na Genereta. Universal Auction Centre kwa idhini tuliyopewa tutauza mali hizo kuanzia Saa 3:30 Asubuhi, Golden Resort, Sinza
Mali zote zinaweza kukaguliwa kuanzia kesho Golden Resort Sinza karibu na Lion Hotel.
Kwa Maelezo zaidi piga simu no: +255 754 284 926 au Email: universalauction@hotmail.com
Hivyo makala TANGAZO LA MNADA
yaani makala yote TANGAZO LA MNADA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANGAZO LA MNADA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/tangazo-la-mnada.html
0 Response to "TANGAZO LA MNADA"
Post a Comment