TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE

TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE
kiungo : TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE

soma pia


TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE

Serikali inafikiria kuunganisha taasisi zote zinazohusika na sekta ya uhifadhi wa wanyamapori nchini kuwa chombo kimoja chenye nguvu  kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji wa taasisi hizo pamoja na kuongeza ufanisi wa kiutendaji katika sekta hiyo muhimu hapa nchini.
Akizungumza mwishoni mwa wiki bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake, Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe alisema anaunga mkono ushauri uliotolewa na wabunge mbalimbali ukiwemo wa Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Atashasta Nditiye juu ya umuhimu wa kuunganisha taasisi hizo za uhifadhi.
"Wakati umefika sasa, tusiwe na makampuni (taasisi) zaidi ya manne ndani ya sekta hii ya wanyamapori, tuwe na kampuni (taasisi) moja tu ambayo itapunguza gharama katika uendeshaji, tutaunganisha jeshi la wahifadhi na jeshi hilo tutakalolitengeneza ni jeshi moja tu ambalo litakua na malezi chini ya jeshi la wananchi wa Tanzania, ili kujenga nidhamu, kuheshimu haki za binadamu na kufanya kazi kwa mujibu wa maslahi ya taifa,". alisema Maghembe. 
Aliongeza kusema "Jeshi hilo ambalo tunaliandaa kisasa, jeshi usu litakua na "chain ya comand" moja na litawajibika kijeshi kwa makosa ya haki za kibinadamu na usaliti wa taifa au usaliti wa uchumi wa nchi yetu".

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akijibu hoja mbalimbali wakati akihitimisha mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2017/2018 bungeni mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo makani akijibu hoja mbalimbali wakati wa kuhitimisha mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2017/2018 bungeni mjini Dodoma.
Picha ya pamoja ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe, Viongozi wakuu na baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo wakiwa nje ya lango la Bunge mara baada ya kikao cha Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA


Hivyo makala TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE

yaani makala yote TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tanapa-ngorongoro-tawa-na-tawiri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANAPA, NGORONGORO, TAWA NA TAWIRI KUUNGANISHWA KUWA TAASISI MOJA - PROF. MAGHEMBE"

Post a Comment