title : NHIF YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KWA KUTOA ELIMU NA KUPIMA AFYA
kiungo : NHIF YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KWA KUTOA ELIMU NA KUPIMA AFYA
NHIF YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KWA KUTOA ELIMU NA KUPIMA AFYA
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage kulia akiteta jambo na Msimamizi wa Ofisi ya Mfuko wa Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo kulia wakati alpolitembelea banda lao wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya kimataifa ya tano yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga
Msimamizi wa Ofisi ya Mfuko wa Bima ya Taifa Mkoani Tanga (NHIF) Dinna Mlwilo kushoto akitoa elimu ya umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kuweza kunufaika na huduma zinazo tolewa nao kwa wananchi walilitembelea banda lao wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya kimataifa ya tano yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga

Wananchi wakipima presha kwenye banda hilo wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo
Afisa kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia kushoto akisubiri kujeza fomu za wananchi ambao wanakwenda kupima uzito na afya kwenye Banda lao ambapo wanatoa elimu namna ya kujiunga na mfuko huo,kupima afya.habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Hivyo makala NHIF YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KWA KUTOA ELIMU NA KUPIMA AFYA
yaani makala yote NHIF YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KWA KUTOA ELIMU NA KUPIMA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NHIF YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KWA KUTOA ELIMU NA KUPIMA AFYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/nhif-yashiriki-maonyesho-ya-kimataifa.html
0 Response to "NHIF YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA KWA KUTOA ELIMU NA KUPIMA AFYA"
Post a Comment