title : MFUMO MPYA WA KUZUIA NA KUDHIBITI WIZI WA VYOMBO VYA MOTO KUZINDULIWA DAR
kiungo : MFUMO MPYA WA KUZUIA NA KUDHIBITI WIZI WA VYOMBO VYA MOTO KUZINDULIWA DAR
MFUMO MPYA WA KUZUIA NA KUDHIBITI WIZI WA VYOMBO VYA MOTO KUZINDULIWA DAR
Mwambawahabari
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa Kushirikiana na Taasisi ya "TAMOBA"
[Tanzania tracking tecknology Security&Monitoring System"]
Ambao ni
"Mfumo Maalum wa kielektronic wa kuzuia na kudhibiti Uhalifu Unaotokana na vyombo vya Usafiri"
Wanatarajia Kuzindua Mfumo huo tarehe 10/02/2019 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Saa Mbili Kamili ya Asubuhi.
Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Mfumo huo atakuwa Makamu wa *Pili* wa Rais wa Zanzibar
Mheshimiwa Balozi Seif Idd
Wadau Maalum katika kufanikisha Mfumo huo watakuwepo ambao ni TTCL,
Viwanda vya JWTZ,
JKT(Garment Factory Suma JKT na CMTU-Chang'ombe)
NMB-Bank, CRDB-Bank, CMPD, Jeshi la Police na Kampuni ya Ulinzi na Usalama.
Baada ya Uzinduzi huo hafla fupi ya burudani itafanyika katika Ukumbi wa
"Police Officer's Mess-Osterbay"
Nyote Mnakaribishwa!
Hivyo makala MFUMO MPYA WA KUZUIA NA KUDHIBITI WIZI WA VYOMBO VYA MOTO KUZINDULIWA DAR
yaani makala yote MFUMO MPYA WA KUZUIA NA KUDHIBITI WIZI WA VYOMBO VYA MOTO KUZINDULIWA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MFUMO MPYA WA KUZUIA NA KUDHIBITI WIZI WA VYOMBO VYA MOTO KUZINDULIWA DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mfumo-mpya-wa-kuzuia-na-kudhibiti-wizi.html
0 Response to "MFUMO MPYA WA KUZUIA NA KUDHIBITI WIZI WA VYOMBO VYA MOTO KUZINDULIWA DAR"
Post a Comment