FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI "DC MJEMA. - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI "DC MJEMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI "DC MJEMA.kiungo :
FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI "DC MJEMA.
FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI "DC MJEMA.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Mongolandege , leo akiwa katika ziara ya kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua.
Na John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amewataka wananchi wa Ukonga kufuata sheria na taratibu za ufugaji Mifugo kwa kutofanya ufugaji wa Mifugo mingi katika maeneo ya mjini.
DC Mjema Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi na kuipatia majawabu katika maeneo ya Ukonga, Mjema kata agizo hilo baada ya wananchi kutoa kero hiyombeleyake kwa kusema kuwa kunamifungo mingi ya imekuwa ikarandaranda mitaa I na kukatisha barabarani.
"Nimewasikia nataka ni waambie hii ni jiji huwezi kuwa na Mifugo inakuwa ikikatikatisha tu barabara lazima Mfugaji a fuate sheria na Sheria zipo hapa mjini tumieni ufugaji wa Mjini ((Zero grazing). Amesema.
Katika hatua nyingine wananchi wameiomba kushughikiwa kwa suala la usafi kwakuwa magari ya taka yamekuwa hayafiki na uchafu umekuwa ukurundikana jambo amabalo linatishia afya za wanachi.
Aidha DC Mjema akiwa katika eneo la Mongolandege ametembelea shule ya Mongolandege na kukagua eneo amabalo linatarajiwa kujengwa kushule ya sekondari na kuahidi kujenga vyoo viwili kwaajili ya wasichana pamoja na madarasa mawili ili kukabiliana na upungufu wa madarasa shuleni hapo.
Mjema Ameendelea kusisitiza umuhimu wa ulinzi na usalama katika maeneo yao na kuwataka kuwataja waharifu wote wanahabari shares usalama wa wananchi.
"Nchi hii inautawala wake na Rais wa Nchi hii ni Dr John Pombe Magufuli, hatutaki mtumwingine kuifanya anautawala wake" Amesema
Hivyo makala FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI "DC MJEMA.
yaani makala yote FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI "DC MJEMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI "DC MJEMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/fuateni-sheria-za-ufugaji-mijini-dc.html
0 Response to "FUATENI SHERIA ZA UFUGAJI MIJINI "DC MJEMA."
Post a Comment