title : MAGWIJI WA HABARI WAKUTANA KUJADILI UPIGAJI PICHA ZA HABARI TANZANIA
kiungo : MAGWIJI WA HABARI WAKUTANA KUJADILI UPIGAJI PICHA ZA HABARI TANZANIA
MAGWIJI WA HABARI WAKUTANA KUJADILI UPIGAJI PICHA ZA HABARI TANZANIA
Mkuu wa kitengo cha Mission Katika Ubalozi wa Uholanzi,Lianne Houben akitoa neno la ufunguzi katika kongamno la upigajipicha na Mjadala wa picha za habari
Muongozaji wa Mjadala wa upigaji picha za Habari Valerie Msoka akichambua mada itakayojadiliwa katika mjadala huo ya Upigaji picha za habari nchini Tanzania
Mkurugenzi wa Misa Tan Garisigwa Sengiyuvwa akikabidhi zawadi kwa mshindi wa kwanza wa Shindano la upigaji picha za Habari lililoandaliwa na Tasisi ya Voice, Imani Nsamila wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa Alliance Francai's Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Misa Tan Garisigwa Sengiyuvwa akikabidhi zawadi kwa Mshindi wa Pili wa shindano la upigaji picha Aika Kimaro ambaye alipiga picha ikumuonyesha Mwanamke akiwa na Mtoto Mdogo huku kabeba mzigo wa Makopo kwa ajili ya kwenda kuuza hili ajikimu yeye na familia
Mkufunzi wa Upigaji Picha za Habari Mwanzo Milinga akichangaia mada wakati wa mjadala wa upigaji picha za habari
Mpigapicha wa picha za Habri ,Raqey Mohamed akizungumza uzoefu wake katika taaluma ya picha hapa nchini
Mtaalamu wa Mawasiliano ya Umma na upigaji picha za Habari,Innocent Mungi akizungumza juu ya umuhimu wa picha katika kufikisha taharifa kwa jamii
Mkurugenzi wa Misa Tan,Garisigwa Sengiyumva akizungumzia umuhimu wa Tasisi za Habri kuwekeza katika upigaji picha za habari hapa nchini hili kuleta matokeo mazuri
Mkurugenzi Mkuu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini,Rose Rueben akieleza ni namna gani wapiga picha wa habari wanavyotakiwa kuzingatia miko ya uandishi wa habari wakati w aupigaji picha zao
Wadau mbalimbali wakipiga kura kwa ajili ya kumpata mshindi wa shindano la upigaji picha lililoandaliwa na Voice
Washiriki kutoka Sehemu Mbalimbali wakisikiliza Mdahalo huo--
Hivyo makala MAGWIJI WA HABARI WAKUTANA KUJADILI UPIGAJI PICHA ZA HABARI TANZANIA
yaani makala yote MAGWIJI WA HABARI WAKUTANA KUJADILI UPIGAJI PICHA ZA HABARI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAGWIJI WA HABARI WAKUTANA KUJADILI UPIGAJI PICHA ZA HABARI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/magwiji-wa-habari-wakutana-kujadili.html
0 Response to "MAGWIJI WA HABARI WAKUTANA KUJADILI UPIGAJI PICHA ZA HABARI TANZANIA"
Post a Comment