title : JKCI watwaa tuzo za wafanyakazi bora
kiungo : JKCI watwaa tuzo za wafanyakazi bora
JKCI watwaa tuzo za wafanyakazi bora
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Samweli Rweyumamu (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya daktari bora wa mwaka Tryphone Kagaruki wakati wa hafla fupi ya utoaji wa tuzo kwa wafanyakazi bora wa mwaka iliyotolewa na kampuni ya dawa za binadamu ya Atco/Samiro na kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya huduma ya uuguzi wa JKCI Robert Mallya hivi karibuni katika taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hilda Karau akipokea cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka kilichotolewa na kampuni ya dawa za binadamu ya Atco/Samiro na kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya huduma ya uuguzi wa JKCI Robert Mallya hivi karibuni katika taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi na Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete( JKCI) Delila Kimambo pamoja na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya huduma ya Uuguzi wa Taasisi hiyo Robert Mallya wakionyesha kipeperushi kinachoitambulisha dawa ya aspirini kama moja ya dawa zinazotumika kwa wagonjwa wa moyo baada ya wasilisho la matumizi ya dawa hiyo hivi karibuni katika ukumbi wa taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam. Waliosimama nyuma ni baadhi ya madaktari bingwa wa moyo wa taasisi hiyo pamoja na wadau kutoka kampuni ya dawa za binadamu ya Atco/Samiro
Picha na: - JKCI
Hivyo makala JKCI watwaa tuzo za wafanyakazi bora
yaani makala yote JKCI watwaa tuzo za wafanyakazi bora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JKCI watwaa tuzo za wafanyakazi bora mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/jkci-watwaa-tuzo-za-wafanyakazi-bora.html
0 Response to "JKCI watwaa tuzo za wafanyakazi bora"
Post a Comment