title : BREAKING NEWS: TUNDU LISSU APIGWA RISASI DODOMA
kiungo : BREAKING NEWS: TUNDU LISSU APIGWA RISASI DODOMA
BREAKING NEWS: TUNDU LISSU APIGWA RISASI DODOMA
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu amekimbizwa hospitali mchana huu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana leo mchaa akiwa nyumbani kwake Mkoani Dodoma.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema kuwa Mh. Lissu amepigwa risasi zaidi ya mbili alipokuwa ametoka bungeni na kwenda nyumbani kwakwe kwa ajili ya chakula cha mchana.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kwamba amekimbizwa hospitali na sasa yupo chumba cha upasuaji.
Hivyo makala BREAKING NEWS: TUNDU LISSU APIGWA RISASI DODOMA
yaani makala yote BREAKING NEWS: TUNDU LISSU APIGWA RISASI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS: TUNDU LISSU APIGWA RISASI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/breaking-news-tundu-lissu-apigwa-risasi.html
0 Response to "BREAKING NEWS: TUNDU LISSU APIGWA RISASI DODOMA"
Post a Comment