title : FAMILIA YATOA RATIBA MSIBA WA RUGE, MWILI KUWASILI IJUMAA, KUAGWA JUMAMOSI DAR
kiungo : FAMILIA YATOA RATIBA MSIBA WA RUGE, MWILI KUWASILI IJUMAA, KUAGWA JUMAMOSI DAR
FAMILIA YATOA RATIBA MSIBA WA RUGE, MWILI KUWASILI IJUMAA, KUAGWA JUMAMOSI DAR
Na Chalila Kibuda, Globu ya jamii
FAMILIA ya Ruge Mutahaba imetoa utaratibu wa mazishi ya ndugu yao, ambayo yanatarajiwa kufanyika wiki ijayo mkoani Kagera.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam ,Msemaji wa familia ya Ruge, aliyejitambulisha kwa jina la Kashasha amesema mipango iliyopangwa na familia ni kuhakikisha wanaufikisha mwili wa Ruge Dar es Salaam siku ya Ijumaa na kuagwa Jumamosi katika ukumbi wa Karimjee.
"Familia imeamua kwamba mwili wa ndugu yetu Ruge utapumzishwa nyumbani mkoani Bukoba siku ya Jumatatu.Siku hiyo ndio tutampumzisha katika nyumba yake ya milele,"amesema.
Ruge Mutahaba aliyezaliwa mwaka 1970, ni mmoja wa waasisi na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group amefariki dunia jana jioni Februari 26 akiwa Afrika Kusini ambako alikuwa anapatiwa matibabu.
ikumbukwe kuwa Ruge ni mmoja wa waanzilishi na waasisi wa Clouds Media.
Hivyo makala FAMILIA YATOA RATIBA MSIBA WA RUGE, MWILI KUWASILI IJUMAA, KUAGWA JUMAMOSI DAR
yaani makala yote FAMILIA YATOA RATIBA MSIBA WA RUGE, MWILI KUWASILI IJUMAA, KUAGWA JUMAMOSI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala FAMILIA YATOA RATIBA MSIBA WA RUGE, MWILI KUWASILI IJUMAA, KUAGWA JUMAMOSI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/familia-yatoa-ratiba-msiba-wa-ruge.html
0 Response to "FAMILIA YATOA RATIBA MSIBA WA RUGE, MWILI KUWASILI IJUMAA, KUAGWA JUMAMOSI DAR"
Post a Comment