Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi.

Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi.
kiungo : Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi.

soma pia


Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi.

  Na Karama Kenyunko, Glogu ya Jamii.
UPANDE wa utetezi umeiomba Mahakama kuulazimisha upande wa mashtaka kuifuta kesi ya utakatishaji fedha, inayomkabili aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya na wenzake.

Wakili wa utetezi, Majura Magafu ametoa ombi hilo leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Mbele ya Hakimu Mfawidhi Cyprian Mkeha wakati kesii hiyo ilipokuja kwa kutajwa.

Ameiomba mahakama kuwa, upande wa mashtaka ulazimishwe kesi ifutwe ama waiondoe mahakamani kwa sababu washtakiwa awali walikuwa chini ya dhamana na wakiripoti kila walipohitajika Takukuru.
Amesema,
Wakili wa utetezi, Majula Magafu amedai kuwa sasa imefikia wakati mahakama ihakikishe maelekezo inayoyatoa yanaheshimiwa

"Mahakama inaweza kuifuta kesi ili ushahidi ukikamilika waletwe tena, kwa sababu imebaki hadithi kila wakija wanasema wanasubiri vielelezo kutoka Ulaya na miaka inaenda tu,".

Akijibu hayo, wakili wa serikali, Constantine Kakula amedai upelelezi wa kesi hiyo unashindwa kukamilika kwa sababu inahusisha uchunguzi unaovuka mipaka.

Amedai, siyo kama jamhuri imelala bali inafanya mawasiliano na upande wa pili, kwa sababu hatuwezi kumlazimisha anayetuma nyaraka za upelelezi kutoka Ulaya.

Hakimu Mkeha akautaka upande wa mashtaka kuhakikisha unakamilisha upelelezi.

 Kitilya na wenzake, aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 1996, Shose Sinare na Sioi Solomon wanashtakiwa kwa utakatishaji wa fedha dola milioni 6.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi September 8/2017.


Hivyo makala Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi.

yaani makala yote Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mawakili-kesi-ya-kitilya-na-wenzake.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mawakili kesi ya Kitilya na wenzake walalamikia upelelezi."

Post a Comment