WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB

WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB
kiungo : WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB

soma pia


WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, akipokea mfano wa hundi ya shilingi bilioni 19.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, ikiwa ni gawio kutokana na hisa zinazomilikiwa na serikali katika  benki hiyo.  Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea mfano wa hundi ya shilingi bilioni 19.5 kutoka Benki ya CRDB, ikiwa ni gawio kutokana na hisa zinazomilikiwa na serikali katika  benki hiyo. Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Hazina, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo, wakati wa hafla ya kupokea mfano wa hundi ya shilingi bilioni 19.5 kutoka Benki ya CRDB, ikiwa ni gawio kutokana na hisa zinazomilikiwa na serikali katika  benki hiyo. Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Hazina, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.


Hivyo makala WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB

yaani makala yote WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wizara-ya-fedha-yapokea-gawio-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WIZARA YA FEDHA YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 19.5 KUTOKA BENKI YA CRDB"

Post a Comment