DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja

DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja
kiungo : DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja

soma pia


DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja

Kampuni ya MultiChoice Tanzania kupitia huduma zake za DStv imetangaza tena ofa mpya na kabambe kwa wateja wake inayojulikana kwa jina la  “Step Up”  ambapo mteja wa DStv atatakiwa kufanya malipo ya mwezi ya kifurushi cha juu ya kile anachotumia  na kisha kupatiwa  kifurushi cha juu zaidi ya kile alicholipia kwa kipindi cha mwezi mzima bila malipo ya nyongeza.

Akizungumza wakati wa kutangaza ofa hiyo Meneja Uendeshaji wa kampuni ya MultiChoice Tanzania Ronald Shelukindo alieleza kuwa Ofa ya‘Step Up’ ni kampeni maalum kwa wateja wa DStv yenye lengo la kuwatunuku wateja wanaolipia kifurushi cha juu ya kile anachotumia.  Wateja wa vifurushi vya Bomba, Family na Compact watakaolipia kifurushi kinachofuatia juu yake watatunukiwa kufurushi cha juu zaidi. Kwa mfano, mteja wa Bomba akilipia kifurushi cha Family atazawadiwa kifurushi cha Compact. Mteja wa Family akilipia Compact anapata kifurushi cha Compact+ na yule wa Compact akilipia Compact+ anapewa kifurushi cha Premium”, alisema Shelukindo.

Aliongeza kuwa” Kampeni hii ya “Step Up” itadumu kwa kipindi cha muda wa miezi miwili kuanzia tarehe 1 March 2019 hadi tarehe 30 Aprili 2019 na itawahusisha  wateja wa Wateja wote ambao akaunti zao hazijakatika vifurushi vya Bomba, Family pamoja na kile cha Compact.
 Meneja Uendeshaji wa MultiChoice Tanzania Ronald Shelukindo akitangaza rasmi promosheni maalum ya kuwapandisha daraja wateja wa DStv ambapo mteja akilipia kifurushi cha juu yake huzawadiwa kifurushi cha cha juu ya kile alicholipia. Promosheni hiyo itakayodumu kwa muda wa miezi miwili itaishia mwisho wa mwezi wanne.
  Meneja Masoko wa MultiChoice Tanzania Alpha Mria akielezea  promosheni maalum ya kuwapandisha daraja wateja wa DStv ambapo mteja akilipia kifurushi cha juu yake huzawadiwa kifurushi cha cha juu ya kile alicholipia. Promosheni hiyo itaanza inaanza rasmi tarehe 1 Machi na itaendelea kwa muda wa miezi miwili.  Kulia ni Meneja Uhusiano Johnson Mshana na katikati ni Meneja Uendeshaji Ronald Shelukindo.
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania Johnson Mshana akieleza kuhusu promosheni maalum ya kuwapandisha daraja wateja wa DStv ambapo mteja akilipia kifurushi cha juu yake huzawadiwa kifurushi cha cha juu ya kile alicholipia. Promosheni hiyo itaanza inaanza rasmi tarehe 1 Machi na itaendelea kwa muda wa miezi miwili


Hivyo makala DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja

yaani makala yote DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/dstv-yaja-na-ofa-ya-kuwapandisha-wateja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DStv yaja na ofa ya kuwapandisha wateja wake daraja"

Post a Comment