RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA

RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA
kiungo : RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA

soma pia


RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA

Na Bakari Madjeshi, Globu ya jamii

MKUU wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda amekutana na Balozi wa Ufaransa nchini Federic Clavier ambapo kwa sehemu kubwa mazungumzo yao yamejikita kujadili kuhusu kongamano la uchumi litakalofanyika mapema jumatatu wiki ijayo.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam Makonda amemshukuru balozi na kueleza kuwa wamekuwa marafiki wazuri na Serikali ya Tanzania.Kuhusu kongamano hilo Makonda amesema siku ya Jumatatu Kampuni 30 kutoka Ufaransa yatawasili nchini na kufanya mkutano wenye malengo ya kuufanya mji wa Dar es salaam kuwa kama miji mingine duniani katika masuala ya maji, afya, usafiri na masuala mengine ya kiteknolojia.

Aidha ameeleza kampuni hizo zitaangalia fursa na vipaumbele vya Serikali watakavyovitumia katika kuleta maendeleo na ametoa rai kwa wafanyabiashara wa Jiji la Dar es salaam kuja katika ofisi za Mkuu wa Mkoa kujifunza na kuunganishwa na wafanyabiashara hao kutoka ufarasa ili waweze kujifunza na kujenga urafiki katika masoko ya bidhaa zao.

Kwa upande wa Balozi wa Ufaransa nchini Federic Clavier amefurahi na kumshukuru Mkuu ya Mkoa Dar na kueleza kuwa Dar es Salaam  ni mji unaoendelea kukua kiuchumi sambamba na dhamira ya Rais Dk.John Magufuli ya kufikia uchumi wa kati kufikia mwaka 2025.Aidha amesema mkutano huo utakuwa na faida baina ya nchi hizi mbili hasa katika kubadilishana teknolojia katika sekta mbalimbali hasa kwa kuangalia afya, maji pamoja na miundombinu na amehaidi matokeo mazuri yenye faida kwa nchi hizo.

Kuhusu mchakato wa kusaidia watoto waliotelekezwa Makonda amewashukuru wanahabari kwa kuwa sehemu ya wapatanishi wa familia hizo aidha amewataka wananchi kuja kupata huduma katika viwanja vya ofisi yake na si katika simu na mitandao na amefafanua hadi sasa familia 178 wameelewana na kukubaliana kupeana fedha za matunzo na zaidi ya watu 1498 wameshapatiwa huduma.

"Na Jumatatu wataitwa baba wa familia hizo licha ya baadhi yao kuanza kuripoti na ameeleza kuwa walio tayari kupima DNA wajitokeze watakaokaidi watachukuliwa hatua za kisheria.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya mdau moja kutoka Afrika Kusini ambaye ameahidi kuwasaidia watoto waliotelekezwa Toto Afya Card. (Picha na Emmanuele Massaka,Globu ya jamii)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda  akiwa katika banda la Mfuko wa Taifa  wa Bima ya Afya (NHIF) akiangalia namna uandikishaji wa Toto Afya Card ukiendelea leo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA

yaani makala yote RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rc-makonda-kukutana-na-kampuni-30.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC MAKONDA KUKUTANA NA KAMPUNI 30 KUTOKA UFARANSA , AWASHAURI WAFANYABISHARA DAR KUCHANGAMKIA FURSA"

Post a Comment