ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA

ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA
kiungo : ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA

soma pia


ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Naibu Waziri na Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Abdallah Ulega amefunga mafunzo ya siku mbili ya ufugaji wa kuku kwa Baraza la  wakina mama wa Jimbo la Mkuranga Mkoa wa Pwani.

Mafunzo hayo yaliyoendeshwa na kampuni ya AMK Gliters inayojihusisha na ufugaji wa kuku yalianza jana yakihudhuriwa na jumla ya wakina mama 326 kutoka kata mbalimbali za Mkuranga.Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo, Ulega amesema kuwa anatarajia kuona wakina mama wa jimbo la Mkuranga wanafuga kuku kwa ajili ya maendeleo pamoja na kukuza kipato chao.

Ulega amesema kuwa, elimu waliyoipata ya ufugaji wa kuku wa kibiashara utawasaidia wananchi hao kujiendeleza zaidi kiuchumi na kuwapa hamasa kuwa majukwaa kama haya yana faida kubwa kwa maendeleo ya Mkuranga.

Amesema, mafunzo ya ujasiriamali  kama haya yanawezekana ila changamoto kubwa imekuwa ni kufika kwa wakina mama hao kutokana na umbali wanapokaa ila amewaomba wasikate tamaa na kumtaka Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Jimbo la Mkuranga Mariam Ulega  kutoa taarifa ili wadau mbalimbali wawezw kujitokeza kuwawezesha pindi zinapojitokeza.

Hata hivyo Ulega, amemtaka Mwenyekiti Wa Baraza kuhakikisha vikundi vilivyojiandikisha tayari kuwa na akaunti za benki ili kuwe na nidhamu ya fedha hususani  usimamizi mzuri.Ameongezea kuwa, tayari ameshapata cherehani 50 na majora kwa ajili ya kuwapatia wakina mama na kila kata watapata cherehani 2 ikiwa ni njia nyingine ya kujiinua kiuchumi.
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, (Mb) wa Mkuranga,Abdallah Ulega akizungumza na wajasiria mali katika kongamano la uwezeshaji kiuchumi lililo fanyika mkoni Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega akisalimiana na Meneja wa CRDB Bank Tawi la Mbagala, Midlaster Nsanzugwanko.
Sehemu ya wajasiliamali mara wakiendelea na kongamano lililo fanyika mkoa wa Pwani.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>


Hivyo makala ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA

yaani makala yote ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/elimu-waliyoyapata-ufugaji-kuku.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ELIMU WALIYOYAPATA UFUGAJI KUKU ITAWASAIDIA:ULEGA"

Post a Comment