title : Global Education Kuanza Maonyesho Yake ya Vyuo Vya Nje leo Jumapili Tarehe 22/07/2018.
kiungo : Global Education Kuanza Maonyesho Yake ya Vyuo Vya Nje leo Jumapili Tarehe 22/07/2018.
Global Education Kuanza Maonyesho Yake ya Vyuo Vya Nje leo Jumapili Tarehe 22/07/2018.
Baada ya kukamilika kwa maonyesho ya vuo Vikuu, Kampuni ya Global Education Link, imetangaza kuanza kwa Maonyesho ya Global Education Link yanayohusisha vyuo vya nje, yanayoanza Jumapili ya Kesho, 20/07/2018 yatakayofanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Global Education Link, yaliyopo eneo la Chang'ombe, kwenye kituo cha Mafuta cha Oicom kwenye kona ya kuelekea Veta Chang'ombe.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel, baada ya kukamilika kwa maonyesho ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu, CTU yaliyomalizika leo..
Bwana Mollel amesema, Global Education Link, imeamua kufanya maonyesho hayo, kufuatia kuanza kwa utaratibu wa mikopo kwa wanafunzi wanaotaka kusoma vyuo vikuu vya nje ya nchi, kulikopelekea wanafunzi kujitokeza kwa vingi kutafuta vyuo vya nje.
Katika kulitimiza hili, wawakilishi kutoka vyuo vikuu 10 vya nje ya nchi, tayari wameishatua nchini kwa ajili ya maonyesho hayo
Hivyo makala Global Education Kuanza Maonyesho Yake ya Vyuo Vya Nje leo Jumapili Tarehe 22/07/2018.
yaani makala yote Global Education Kuanza Maonyesho Yake ya Vyuo Vya Nje leo Jumapili Tarehe 22/07/2018. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Global Education Kuanza Maonyesho Yake ya Vyuo Vya Nje leo Jumapili Tarehe 22/07/2018. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/global-education-kuanza-maonyesho-yake.html
0 Response to "Global Education Kuanza Maonyesho Yake ya Vyuo Vya Nje leo Jumapili Tarehe 22/07/2018."
Post a Comment