Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria

Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria
kiungo : Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria

soma pia


Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria

Waangalizi wa uchaguzi wanakosoa kuchelewesha ufunguaji wa vituo katika maeneo mengi nchini Nigeria, wakisema uchelewashaji huo na kuahirishwa kwa uchaguzi huo kwa wiki nzima viliwakatisha tamaa watu wengi kupiga kura.

Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Afrika umesema katika ripoti yake kuwa uchaguzi ulipita kwa amani kwa sehemu kubwa licha ya matukio kadhaa wa kadhaa ya vurugu na udanganyifu.

Kundi la Situation Room, ambalo ni muungano wa mashirika ya kiraia yaliosimamia uchaguzi huo kw apamoja, limesema watu wasiopungua 39 waliuawa nchini Nigeria kote kwenye siku ya uchaguzi.

Kundi la waangalizi wa Jumuiya ya Madola limezitaja vurugu zilizoukumba uchaguzi huo kuwa suala linalohuzunisha na mwenyekit wake, rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema Nigeria ingeweza kufanya vizuri zaidi.

"Kumekuwa na ugumu wa kimandalizi, kilojistiki na kiufundi katika uchaguzi huu ambavyo tunajua na kuamini kuwa INEC na wadau wote nchini Nigeria watahitaji kuvishughulikia.

Jambo la pili, vurugu zinazohusiana na uchaguzi na upotevu wa maisha vilivyotokea katika maeneo kadhaa vinasikitisha. Naamini Nigeria inaweza kufanya vizuri zaidi. Vurugu hazina nafasi katika demokrasia ya kisasa."

Mkuu wa ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Ulaya Maria Arena amesema kura hiyo ilitatizwa na kosoro za kiutendaji zilizosababisha ugumu kwa wapigakura.
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo.



Hivyo makala Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria

yaani makala yote Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/buhari-apata-ushindi-wa-kwanza-nigeria.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Buhari apata ushindi wa kwanza Nigeria"

Post a Comment