title : TANESCO yafanya Zoezi la Kusafisha na Kuunga Bomba la Gesi-KINYEREZI 1
kiungo : TANESCO yafanya Zoezi la Kusafisha na Kuunga Bomba la Gesi-KINYEREZI 1
TANESCO yafanya Zoezi la Kusafisha na Kuunga Bomba la Gesi-KINYEREZI 1
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linawataarifu Wateja wake kuwa leo Jumamosi Novemba 18 na kesho Jumapili Novemba 19, 2017 kuna usafishaji na kuunga bomba kubwa la Gesi katika Mitambo ya Kinyerezi I, sambamba na zoezi hilo pia yanafanyika maandalizi ya kukiunganisha Kituo cha Kinyerezi II, kuanzia Saa:02.00 Asubuhi hadi saa 11.00 Jioni, kama tulivyowatangazia.
Kutokana na kazi hiyo kutakuwa na upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa, hivyo baadhi ya Wateja waliounganishwa katika Gridi ya Taifa wa maeneo mbalimbali Nchini watakosa huduma ya umeme. Zoezi hilo linaendelea kwa ufanisi mkubwa na uharaka ili kurejesha huduma ya umeme kwa wakati.
TAHADHARI
Kutokana na kazi hii Wananchi mnaombwa msipite karibu na eneo la Mitambo ya Kinyerezi, kutokuwasha moto, kutokufanya shughuli za uchomeleaji vyuma pamoja na shughuli nyingine yoyote yenye viashiria vya moto, ili kujikinga na madhara yanayoweza kutokea iwapo shughuli tajwa zinafanyika maeneo yaliyo karibu na Mitambo. Shirika limesha fanya taratibu zote za ki usalama katika eneo la Mitambo.

Hivyo makala TANESCO yafanya Zoezi la Kusafisha na Kuunga Bomba la Gesi-KINYEREZI 1
yaani makala yote TANESCO yafanya Zoezi la Kusafisha na Kuunga Bomba la Gesi-KINYEREZI 1 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANESCO yafanya Zoezi la Kusafisha na Kuunga Bomba la Gesi-KINYEREZI 1 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/tanesco-yafanya-zoezi-la-kusafisha-na.html
0 Response to "TANESCO yafanya Zoezi la Kusafisha na Kuunga Bomba la Gesi-KINYEREZI 1"
Post a Comment