title : TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS HASSAN GOBBOS AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS HASSAN GOBBOS AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS HASSAN GOBBOS AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
Mchezaji nyota wa Zamani wa klabu ya Yanga, Mzizima United na Taifa Stars, Hassan Goebles (Gobbos) amefariki dunia asubuhi hii jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa katika kundi la Whatsapp la wafanyakazi wastaafu wa Mamlaka ya Bandari, mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Sinza. Tutajulishana zaidi mara habari kamili za ratiba zitapopatikana
Hivyo makala TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS HASSAN GOBBOS AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS HASSAN GOBBOS AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS HASSAN GOBBOS AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/tanzia-nyota-wa-zamani-wa-yanga-na.html
0 Response to "TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS HASSAN GOBBOS AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment