JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA.

JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA.
kiungo : JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA.

soma pia


JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA.

Mwambawahabari

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani S. Jafo (Mb) amesema jumla ya watumishi wa Sekta ya Afya wapatao 2058 wamekwisha pangiwa vituo vya kazi kuanzia leo 06/11/2017 na taarifa zote zinapatikana kwenye mtandao wa Ofisi ya Rais TAMISEMI.
“Taarifa ya watumishi 2058 imekamilika na itarushwa kwenye mtandao wa OR TAMISEMI leo tarehe 6/11/2017 jioni, hivyo Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wanatakiwa kujiandaa kuwapokea watumishi hao ikiwemo kuwapatia stahiki zao”
Amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Waajiri kuhakikisha wanachukua taarifa za watumishi walioripoti na kuwaingiza kwenye Mfumo wa Mishahara na kuwapangia katika maeneo ambayo ya uhitaji mkubwa ili kuboresha huduma za afya nchini.
Pia ameekeza watumishi wanaopangiwa vituo, kuripoti katika vituo vyao vya kazi ndani ya siku 14 tangu tangazo hili kutolewa.
Aidha, Waajiri wote watoe taarifa juu ya kuripoti kwa watumishio haa wapya na vituo walivyopangiwa siku 14 baada ya kuripoti kwao.
Taarifa za Watumishi hao na Vituo vyao vya kazi, inapatikana katika Mtandao wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) wa www.tamisemi.go.tz


Hivyo makala JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA.

yaani makala yote JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/jafo-amesema-taarifa-ya-watumishi-2058.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO AMESEMA TAARIFA YA WATUMISHI 2058 IMEKAMILIKA."

Post a Comment