RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI
kiungo : RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI

soma pia


RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja.
  Waziri wa  Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohamed (katikati) alipowasilisha Muhtasari wa  Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha  Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)wengine ni  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM pia Kaimu Katibu Mkuu  Kiongozi Nd,Salum Maulid Salum (kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Nd. Lulu Msham Abdalla.
Katibu Mkuu  Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja  cha  Wizara hiyo  kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo p ichani),akiwepo na Naibu Katibu Mkuu Maryam Juma Abdulla Saadalla (kulia)
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara  hiyo  katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja (Picha na Ikulu)


Hivyo makala RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI

yaani makala yote RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/rais-dkshein-azungumza-na-uongozi-wa_7.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI"

Post a Comment