title : RC RUVUMA AMWAGIZA DC TUNDURU KUKAMATA KWA MTINDO WA KATA FUNUA
kiungo : RC RUVUMA AMWAGIZA DC TUNDURU KUKAMATA KWA MTINDO WA KATA FUNUA
RC RUVUMA AMWAGIZA DC TUNDURU KUKAMATA KWA MTINDO WA KATA FUNUA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akishiriki ujenzi wa vyumba vya Madarasa katika Shule ya Frank Weston iliyopo Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma.
......................
Agizo la Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA la kuhakikisha wanafunzi wanaopaswa kuanza darasa la kwanza na kidato cha kwanza wanakwenda shule limeanza kutekelezwa katika Mkoa wa RUVUMA. Ambapo Mkuu wa Mkoa huo Christine Mndeme amefanya ziara ya kukagua mapokezi ya wanafunzi wa darasa la kwanza, kidato cha kwanza na kukagua miundombinu ya madarasa katika Wilaya ya TUNDURU. Sambamba na kumpa maagizo Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Juma Homera kuwachukulia hatua wazazi ambao wameshindwa kuwapeleka watoto wa shule ” DC we kata funua “.
Hivyo makala RC RUVUMA AMWAGIZA DC TUNDURU KUKAMATA KWA MTINDO WA KATA FUNUA
yaani makala yote RC RUVUMA AMWAGIZA DC TUNDURU KUKAMATA KWA MTINDO WA KATA FUNUA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC RUVUMA AMWAGIZA DC TUNDURU KUKAMATA KWA MTINDO WA KATA FUNUA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rc-ruvuma-amwagiza-dc-tunduru-kukamata.html
0 Response to "RC RUVUMA AMWAGIZA DC TUNDURU KUKAMATA KWA MTINDO WA KATA FUNUA"
Post a Comment