SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85

SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85
kiungo : SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85

soma pia


SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85

SERIKALI ya Mtaa ya Upanga Mashariki Dar es Salaam imesema vitendo vya uhalifu katika mtaa huo kwa sasa vimepungua baada kuanzishwa ulinzi shirikishi wa bodadoda wa mtaa huo. 

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo Rukiya Ritani amesema hayo leo kuwa wameanzisha Polisi jamii kwa kuwashirikisha madereva wa bodaboda ambao wanafanya kazi zao kwa umakini na hatimaye wamefanikiwa kupunguza uhalifu.

 "Iwapo atapatikana mhalifu huwa wanamchukua na kumpeleka kituo cha Polisi ili sheria ichukue mkondo wake,"amesema Rukiya .

Amesema kwa sasa mafanikio makubwa ambayo yamepatikana wananchi wanaishi bila hofu yoyote na hata wanapopita barabarani usalama na mali zao ni mkubwa.Pia amesema mtaa huo una wakazi  4, 800  na changamoto iliyopo wanaolipa fedha kwa ajili ya ulinzi ni wachache , hivyo amewaomba wananchi kulipa fedha wa wakati.

Kwa upande wa Kiongozi  wa Ulinzi shirikishi Upanga Mashariki, Seleman Abdallah amesema uhalifu umepungua kwa asilimia 85.
Mwenyekiti wa Upanga Mashariki Rukiya Ritani, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuelezea mafanikio katika ulinzi Shirikishi  (Kushoto) kiongozi wa ulinzi wa mtaa huo Abdalah Seleman .


Hivyo makala SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85

yaani makala yote SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/serikali-ya-mtaa-upanga-yajivunia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85"

Post a Comment