title : RAIS DKT MAGUFULI AKIONGOZA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WACHIMBAJI,WAFANYABBIASHARA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI LEO JIJINI DAR
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AKIONGOZA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WACHIMBAJI,WAFANYABBIASHARA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI LEO JIJINI DAR
RAIS DKT MAGUFULI AKIONGOZA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WACHIMBAJI,WAFANYABBIASHARA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI LEO JIJINI DAR
Mhe. Rais John Pombe Magufuli anawasikiliza baadhi ya wachimbaji wadogo wa madini wakitoa kero zao katika mkutano Mkuu wa kisekta wa wachimbaji, wafanyabiashara na wadau wa sekta ya Madini katika ukumbi wa Mwalimu J.K Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019.

Baadhi ya wadau wa sekta ya madini na wafanyabiashara waliohudhuria Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019.
Baadhi ya wadau wa sekta ya madini na wafanyabiashara waliohudhuria Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019.
Rais wa shirikisho la vyama vya Wachimbaji wadogo wadogo wa madini (FEMATA) John Bina alipokuwa akisoma hotuba kuwakilisha wachimbaji wenzake katika Mkutano Mkuu wa kisekta jijini Dar es salam, Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa Mwalimu J.K Nyerere leo Januari 22, 2019.
Mmoja wa Baadhi ya wadau wa sekta ya madini akizungumza changamoto wanazokumbana nazo,mbele ya Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 22, 2019.
Baadhi ya wadau wa sekta ya madini na wafanyabiashara waliohudhuria Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019.
Baadhi ya wadau wa sekta ya madini na wafanyabiashara waliohudhuria Mkutano Mkuu wa kisekta katika ukumbi wa Mwakimu J.K. Nyerere jijini Dar es salaam 22, 2019 wakifurahia mada mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa ukumbini humo.
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKIONGOZA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WACHIMBAJI,WAFANYABBIASHARA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI LEO JIJINI DAR
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKIONGOZA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WACHIMBAJI,WAFANYABBIASHARA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKIONGOZA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WACHIMBAJI,WAFANYABBIASHARA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-magufuli-akiongoza-mkutano.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKIONGOZA MKUTANO MKUU WA KISEKTA WA WACHIMBAJI,WAFANYABBIASHARA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI LEO JIJINI DAR"
Post a Comment