MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE

MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE
kiungo : MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE

soma pia


MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE

Na Obligado-Mtwara.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamtafuta Zuhura Ismail Mkazi wa Halmashauri ya Nanyamba Mkoani Mtwara kwa Kosa la Kumuua Aliyekuwa Mume wake kwa Kuchoma nyumba waliyokuwa wakiishii kwa kutumia mafuta ya Petrol kutokana na Wivu wa kimapenzi.

Zuhura ambaye anatafutwa na jeshi la Polisi,Majira ya Usiku alifika Nyumbani kwa mume wake huyo ambaye walikuwa wametengana na Kuhisi kuwa Ndani ya nyumba Mumewe alikuwa amelala na mwanamke Mwingine Hivyo Kuchoma Nyumba Moto na Kutokomea Kusikojulikana.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Lucas Mkondya amewaomba wananchii wanamfahamu kutoa taarifa popote watakapomuoa Mwanamke Huyo Zuhura Ismail.

Aidha kamanda Mkondya ameongeza kuwa Watu 12 wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za Wizi wa pikipiki pamoja na Kuvunja nyumba za watu na kuiba Vifaa mbalimbali vya majumbani.

Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara Limewataka wananchi waliotoa taarifa za kuibiwa wafike kituo cha Polisi kwa ajili ya Kutambua na kuchukua mali zao.
Pichani.Kamanda Wa Police Mkoa wa Mtwara Lucas Mkondya akiwaonesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) Samani za Ndani Zilizokamatwa baada ya Kufanya Opereshen ya Msako kwa Watuhumiwa wa wizi pamoja na Madumu ya Pombe haramu ya Gongo Lita 369 ambapo watu 15 wamekamatwa wakifanya Biashara ya Kuuza na Kusafirisha.


Hivyo makala MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE

yaani makala yote MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mkazi-wa-nanyamba-mkoani-mtwara-asakwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MUME WAKE"

Post a Comment