title : VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO
kiungo : VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO
VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) Jeremiah John Jilili akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu mchango wa vijana kuelekea uchumi wa viwanda leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jonas Kamaleki na Waziri wa Katiba Sheria na Utawa Bora wa Daruso Ibrahim Bimbalirwa.
Waziri wa Katiba Sheria na Utawa Bora wa Daruso Ibrahim Bimbalirwa akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu mchango wa vijana kuelekea uchumi wa viwanda leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) Jeremiah John Jilili na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Mambo ya Nje Jumuiya za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw. Malisa Martine.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Mambo ya Nje Jumuiya za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw. Malisa Martine akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu mchango wa vijana kuelekea uchumi wa viwanda leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Katiba Sheria na Utawa Bora wa Daruso Ibrahim Bimbalirwa.
Baadhi ya W3aandishi wa Habari wakifuatilia mkutano baina yao na viongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhusu mchango wa vijana kuelekea uchumi wa viwanda leo Jijini Dar es Salaam. (Picha na: Frank Shija - MAELEZO)
Hivyo makala VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO
yaani makala yote VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/vijana-nchini-watakiwa-kuwa-wazalendo.html
0 Response to "VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO"
Post a Comment