NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO.

NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO.
kiungo : NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO.

soma pia


NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO.

Meneja wa NMB kanda ya kati Dodoma, Msolo Mlozi amewaomba wananchi wa Wilaya ya Kiteto, kujiunga na Benki ya NMB kwa kufungua akaunti kwa lengo la kunufaika na Benki hiyo kwa nyanja mbalimbali zikiwemo Elimu, Afya na misaada ya Majanga inapojitokeza.

Mlozi ameyasema hayo hivi karibuni akiwa katika Kijiji cha Chang'ombe alipofika kutoa msaada wa bati, mbao na misumari vya thamani ya milioni tano, kuondoa adha kwa wanafunzi wa shule ya msingi Matereka..
 Meneja wa NMB kanda ya kati Dodoma, Msolo Mlozi akikabidhi mabati kwa uongozi wa shule ya msingi Matereka,katika kijiji cha Chang'ombe wilayani Kiteto hivi karibuni. 
 Meneja wa NMB kanda ya kati Dodoma, Msolo Mlozi akikabidhi mbao kwa Uongozi wa shule ya msingi Matereka,katika kijiji cha Chang'ombewilayani Kiteto hivi karibuni.
Meneja wa NMB kanda ya kati Dodoma, Msolo Mlozi akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali katika Kijiji cha Chang'ombe alipofika kutoa msaada wa vifaa vya ujenzi kama vile Mabati, Mbao na Misumari vyenye  thamani ya shilingi milioni tano, kuondoa adha kwa wanafunzi wa shule ya msingi Matereka.


Hivyo makala NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO.

yaani makala yote NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/nmb-yato-msaada-vifaa-vya-ujenzi-vyenye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NMB YATO MSAADA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH MILIONI TANO WILAYANI KITETO."

Post a Comment