title : WAGANGA WA JADI NA TIBA ASILIA WAPEWA WIKI TATU KUJISAJILI TUNDURU
kiungo : WAGANGA WA JADI NA TIBA ASILIA WAPEWA WIKI TATU KUJISAJILI TUNDURU
WAGANGA WA JADI NA TIBA ASILIA WAPEWA WIKI TATU KUJISAJILI TUNDURU
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Juma Homera ametoa wiki tatu kwa waganga wa Jadi na Tiba Asilia kujisajili kisheria ili kupata leseni za kufanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Agizo hilo amelitoa wakati akifungua mkutano kwa waganga wa Jadi na Tiba Asilia wa wilaya hiyo ambao ulioandaliwa na shirikisho la vyama vya Tiba Asilia Tanzania na kuhudhuriwa na mwenyekiti wa shirikisho Taifa Abrahamani Lutenga.
Hivyo makala WAGANGA WA JADI NA TIBA ASILIA WAPEWA WIKI TATU KUJISAJILI TUNDURU
yaani makala yote WAGANGA WA JADI NA TIBA ASILIA WAPEWA WIKI TATU KUJISAJILI TUNDURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAGANGA WA JADI NA TIBA ASILIA WAPEWA WIKI TATU KUJISAJILI TUNDURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waganga-wa-jadi-na-tiba-asilia-wapewa.html
0 Response to "WAGANGA WA JADI NA TIBA ASILIA WAPEWA WIKI TATU KUJISAJILI TUNDURU"
Post a Comment