title : MAJALIWA AWASILI SONGEA KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA
kiungo : MAJALIWA AWASILI SONGEA KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA
MAJALIWA AWASILI SONGEA KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Januari 2, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho wakati walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Januari 2, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama na watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina, Mndeme.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Ruvuma wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Januari 2, 2018. Kulia ni mkewe Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AWASILI SONGEA KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA
yaani makala yote MAJALIWA AWASILI SONGEA KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AWASILI SONGEA KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/majaliwa-awasili-songea-kuanza-ziara-ya.html
0 Response to "MAJALIWA AWASILI SONGEA KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUVUMA"
Post a Comment