title : YANGA YAPELEKA VIJANA KOMBE LA MAPINNDUZI
kiungo : YANGA YAPELEKA VIJANA KOMBE LA MAPINNDUZI
YANGA YAPELEKA VIJANA KOMBE LA MAPINNDUZI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Kikosi cha Yanga kimewasili Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi lililoanza kutimua vumbi Januari Mosi 2019 na kufikiwa tamati Januari 13, 2019.
Kikosi hicho kinaongozwa na Kocha Msaidizi wa Yanga Noel Mwandila akisaidiwa na Kocha wa timu ya Vijana Said Maulid 'SMG', daktari wa timu Edward Bavu, Meneja wa timu Nadir Haroub "Canavaro" na Mohamed Ali.
Yanga watashuka dimbani kesho saa 2.15 wakiumana na KVZ ukiwa ni mchezo wa kwanza kwenye mashindano hayo kwenye dimba la Amani Zanzibar. Wachezaji hao ni
1. Maka Edward
2. Haji Mwinyi
3. Said Makapu
4. Matheo Anthony
5. Erick Msagati
6. Deo Mkami
7. Ibrahim Abrahaman
8. Ibrahim Ahmed
9. Deus Kaseke
10. Mustapha Seleman
11. Abuu Shaban
12. Ramadhan Mrisho
13. Mohamed Salumu
14. Cheda Hussein
15. Yasini Salehe
16. Salumu Mkama
17. Faraji Kilaza
18. Bakari Athman
19. Said Khasimu
20. Shaban Mohamed
21. Jafari Mohamed
22. Pius Buswita
23. Juma Abdul
Hivyo makala YANGA YAPELEKA VIJANA KOMBE LA MAPINNDUZI
yaani makala yote YANGA YAPELEKA VIJANA KOMBE LA MAPINNDUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAPELEKA VIJANA KOMBE LA MAPINNDUZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/yanga-yapeleka-vijana-kombe-la.html
0 Response to "YANGA YAPELEKA VIJANA KOMBE LA MAPINNDUZI"
Post a Comment