MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO

MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO
kiungo : MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO

soma pia


MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO

Mtanzania Jonesia Rukyaa Kabakama ameteuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), kuchezesha fainali zijazo za Kombe la Dunia kwa wanawake (Algarve Cup) zitakazofanyika nchini Ureno, mwezi Februari, mwakani.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka TFF, Jonesia, ambaye ni mwanamke, ameteuliwa kupuliza filimbi katika fainali hizo ambazo hukutanisha timu mahiri zilizofanya vema katika michuano ya kila Bara.
Lakini kabla ya kwenda Ureno, Jonesia anatarajiwa kushiriki semina maalumu iliyoandaliwa na FIFA. Semina hiyo itafanyika Doha, Qatar kuanzia Februari 12- 16, mwakani.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limempongeza Mwamuzi Jonesia kwa kuteuliwa na FIFA kuchezesha fainali za Kombe la Dunia na kuhudhuria semina hiyo muhimu kwa maendeleo ya mpira wa miguu.
Waamuzi wengine walioteliwa kutoka Afrika Lidya Abebe wa Ethiopia, Glady Lengwe wa Zambia na Salima Mukansanga wa Rwanda.


Hivyo makala MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO

yaani makala yote MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mwamuzi-mtanzania-kuchezesha-kombe-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWAMUZI MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA KWA WANAWAKE 2018 NCHINI URENO"

Post a Comment