KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA

KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA
kiungo : KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA

soma pia


KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA


  Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mwanne Nchemba akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, katikati ni Katibu wa Kamati, Eunice Shirima na wa kwanza ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Jason Rweikiza.
Naibu Waziri , Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mwita Waitara akifuatilia hoja za wajumbe wa Kamati Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo Kamati imepokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuhusu utendaji wa Tume ya Utumishi katika kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2018.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo wamepokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuhusu utendaji wa Tume ya Utumishi katika kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2018.


Hivyo makala KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA

yaani makala yote KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/kikao-cha-kamati-ya-utawala-na-serikali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIKAO CHA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA CHAFANA"

Post a Comment