title : RAIS DKT MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KUANZA ZIARA YA KIKAZI
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KUANZA ZIARA YA KIKAZI
RAIS DKT MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KUANZA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa ndege ya Bombadier Q400 ya ATCL aliyotumia kusafiria kutoka Dar es salaam hadi Mtwara alikoanza ziara ya kikazi ya siku tatu leo Aprili 2, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasisius Byakanzwa alipowasili kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Mtwara, leo Aprili 2, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasisius Byakanzwa na viongozi wengine alipowasili kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Mtwara leo Aprili 2, 2019. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KUANZA ZIARA YA KIKAZI
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KUANZA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KUANZA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-awasili-mkoani-mtwara.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AWASILI MKOANI MTWARA KUANZA ZIARA YA KIKAZI"
Post a Comment