title : BALOZI WA ITALIA ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE
kiungo : BALOZI WA ITALIA ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE
BALOZI WA ITALIA ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia hapa nchini Mhe. Roberto Mengoni. Wawili hao walijadiliana umuhimu wa kuibua maeneo mapya ya Ushirikiano baina ya Tanzania na Italia hussusan katika sekta ya biashara na uwekezaji. Dkt. Mahiga alitumia fursa hiyo pia kueleza juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya awamu ya tano za kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.
Balozi Mengoni akimwelezea jambo Dkt. Mahiga
Katibu wa Mhe. Waziri, Bw. Magabilo Murobi pamoja na Bi Happyness Lwangisa wakifuatilia na kunukuu mambo muhimu ya mazungumzo hayo.
Hivyo makala BALOZI WA ITALIA ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE
yaani makala yote BALOZI WA ITALIA ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA ITALIA ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/balozi-wa-italia-atembelea-wizara-ya.html
0 Response to "BALOZI WA ITALIA ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE"
Post a Comment