Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama

Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama
kiungo : Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama

soma pia


Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama

Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga ametua nchini katika mkutano wa majaji na mahakimu akionekana kivutio kwa wengine.

Jaji huyo ni mmoja wa majaji wakuu 13 kutoka nchi mbalimbali duniani wanaohudhuria mkutano majaji na mahakimu wa nchi za Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Dar es Salaam kwa siku tatu..

Maraga amegeuka kivutio baada ya kushangiliwa na majaji waliohudhuria mkutano huo wakati alipotambulishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma.

Profesa Juma amempongeza Maraga kwa kuwakilisha mfano bora wa kulinda uhuru wa Mahakama kwa nchi nyingine duniani.

Kiongozi huyo ameonekana akiwa ameambatana na walinzi wanne ambao wanamfuata popote anapotembea nje ya mkutano huo.

Hata hivyo, Maraga amekataa kuzungumza na vyombo vya habari kwa madai amekuja kuhudhuria mkutano huo na siyo kwa jambo jingine lolote.

Mkutano huo umefunguliwa leo Jumatatu na Makamu wa Rais, Samia Suluhu ukiwa na kauli mbiu "Kujenga Mahakama Shirikishi, Thabiti na Inayowajibika."

Jaji Maraga kwa siku za hivi karibuni amekuwa maarufu baada ya kutoa uamuzi wa kufuta Uchaguzi Mkuu wa Kenya uliokuwa umempa ushindi Rais Uhuru Kenyatta.


Hivyo makala Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama

yaani makala yote Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/jaji-mkuu-wa-tanzania-ampongeza-jaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jaji Mkuu wa Tanzania Ampongeza Jaji Mkuu wa Kenya Kwa Ujasiri wake wa Kulinda Uhuru wa Mahakama"

Post a Comment