title : Bora Kufananishwa na Young Killer Ila Kufananishwa na Mla Unga Young Dee Sitaki- Dogo Janja
kiungo : Bora Kufananishwa na Young Killer Ila Kufananishwa na Mla Unga Young Dee Sitaki- Dogo Janja
Bora Kufananishwa na Young Killer Ila Kufananishwa na Mla Unga Young Dee Sitaki- Dogo Janja
Alipoulizwa juu ya kauli ya Young Dee kumuita kifaranga, alifunguka: “Mimi pia sipendi kufananishwa na kifaranga japo sijakataa kufananishwa na Young Killer kwa sababu alishawahi kuwa role model wangu, kwa hiyo kufananishwa naye si kitu kibaya, lakini kufananishwa na mla unga Young Dee ndiyo sipendi tena mnakosea kabisa.
“Young Dee akiacha kula unga tutakaa mezani tuzungumze lakini kufananishwa naye sasa hivi sitaki kwani ni mtu ambaye ukimuacha nyumbani kwako unawaza vitu vyako kama TV, radio na vingine. Je, utavikuta salama, maana asije kuiba kwenda kuuza,” alisema Dogo Janja
Hawa ni vijana wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Hip Hop nchini, ambako pia watu wanawafananisha kutokana na wote wanavyoimba kwa aina ya kurap ila kwa kila mmoja hapendi kufananishwa na mwenziye
Hivyo makala Bora Kufananishwa na Young Killer Ila Kufananishwa na Mla Unga Young Dee Sitaki- Dogo Janja
yaani makala yote Bora Kufananishwa na Young Killer Ila Kufananishwa na Mla Unga Young Dee Sitaki- Dogo Janja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Bora Kufananishwa na Young Killer Ila Kufananishwa na Mla Unga Young Dee Sitaki- Dogo Janja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/bora-kufananishwa-na-young-killer-ila.html
0 Response to "Bora Kufananishwa na Young Killer Ila Kufananishwa na Mla Unga Young Dee Sitaki- Dogo Janja"
Post a Comment