WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI

WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI
kiungo : WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI

soma pia


WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI




Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama ameitaka Menejimenti ya Ofisi yake kushughulikia kero za watumishi kwa haki na usawa ili kumaliza kero zilizopo.

Ameyasema hayo wakati wa Mkutano na Watumishi wa ofisi ya Waziri Mkuu walipokutana kujadili masula yanayowakabili wawapo kazini uliofanyika Desemba 10, 2018 katika Ukumbi wa LAPF Dodoma.

Waziri aliwataka Watendaji wa ofisi yake kuendelea kutatua changamoto zinazowakabili watumishi kuhusu madai mbalimbali ikiwemo; kupanda madaraja, uhamisho, usalama mahali pa kazi na masuala ya kuzingatia afya wawapo kazini ili kuhakikisha wanatekeeleza majukumu yao katika mazingira rafiki.

“Kama kuna motisha kubwa kwa mtumishi ni kumsaidia kutatua kero yake inayohusiana na utumishi wake kwa uzito unaolingana na tatizo au uhitaji wake ili kusaidia kuongeza morali yake katika kufanya kazi.”Alisema Mhagama.Sambamba na hilo waziri aliwaasa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kutumia mabaraza ya Wafanyakazi katika kujadili na kutatua kero wanazokabiliana nazo wawapo kazini.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiongoza kikao cha pamoja na Watumishi wa Ofisi hiyo walipokutana akujadili masuala yao ikiwa ni sehemu ya kufahamiana na kuendelea kufanya kazi kwa umoja, mkutano huo ulifanyika Desemba 10, 2018 katika Ukumbi Mikutano wa LAPF Dodoma.
P2-min
Katibu Mkuu Ofisi yaWaziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi.Maimuna Tarishi akichangia jambo wakati wa mkutano huo.
P6-min
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe.Anthony Mavunde akichangia jambo wakati wa mkutano huo.
P3-min  
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia maelekezo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama  (hayupo pichani) wakati wa mkutano huo.



Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI

yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/waziri-mhagama-aitaka-menejimenti-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AITAKA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUZINGATIA HAKI NA USAWA KUTATUA KERO ZA WATUMISHI"

Post a Comment